Ibada app for iPhone and iPad
Developer: DEONHUB LIMITED
First release : 25 Jun 2015
App size: 50.56 Mb
"IBADA" Ni programu tumishi inayokuwezesha kusoma neno la Mungu na kukusogeza karibu na Mungu wako kupitia: Kesha la Asubuhi, Muongozo wa Kujifunza Biblia, Roho ya Unabii na Usomaji wa Biblia kwa mpango.
Programu hii ina vipengele vifuatavyo:
1. Kesha la Asubuhi
- Utasoma kesha la asubuhi kila siku
- Utasikiliza sauti ya kesha kila siku
2. Muongozo wa Kujifunza Biblia
- Utasoma lesoni yako kila siku
- Utaweza kuchagua somo lolote kati ya masomo 13 ya robo
- Utasikiliza sauti ya somo la wiki moja
- Utatazama video za mjadala wa lesoni kutoka nchi mbalimbali
- Utaweza kubofya fungu lolote la biblia na kusoma hapohapo
- Utasoma maelezo ya Mwalimu na Muhtasari wa kujifunza somo la wiki moja (This is auto-renewing subscription - utapata kwa njia ya kuchangia kwa kila miezi mitatu kiasi cha $0.99, na utapewa mwezi mmoja wa majaribio, na utakuwa na uwezo wa kujiondoa pale utakapopenda)
3. Roho ya Unabii
- Utasoma sura moja kitabu cha roho ya unabii kwa wiki moja
4. Usomaji wa Biblia kwa mpango
- Utasoma sura moja ya biblia kila siku
5. Information
- Utawasiliana nasi kwa kutumia barua pepe
- Utatoa maoni juu ya Kiwango cha programu
- Utapata nafasi ya kuchangia fedha za kuendesha programu hii kupitia Bank na M-Pesa
- Utaweka sauti ya kukumbusha (Alarm) muda wa kusoma Neno la Mungu
- Utaweza kufuta Mafaili ya Sauti uliyopakua wakati unasoma Kesha la Asubuhi au Muongozo wa kujifunza Biblia
- Utaona Programu nyingine tulizonazo
Ungana nasi kwa kupakua programu hii uweze kuwa na IBADA yenye maana mbele za Mungu wako.